Kiswahili (Swahili)
Mtandao huu unapeana maelezo kuhusu huduma za ushauri katika Southwark, zilizopangwa kulingana na shughuli za
ushauri -Pesa/Deni/Ushuru, Nyumba & Kutokuwa na Nyumba, Kazi, Ustawi wa Jamii & Malimbiko ya Ushuru, Uhamiaji,
Ubaguzi, Bidhaa & Huduma, Gharama za Mafuta, Familia, Hududma kwa Jamii, Uhasama Nyumbani, Elimu, Majeraha ya
Binafsi na Sheria ya Umma.
Viunganisho vimepeanwa upande wa kulia wa waraka huu kuelekeza kwenye Mtandao ambapo unaweza kupata ushauri na
maelezo mapya tena yasiyokuwa ya malipo kuhusu maswala yote, pamoja na viunganisho vya Mitandao muhimu ya serikali
na almashauri za miji.
Mashirika ya Ushauri katika Southwark
(Advice Agencies in Southwark)
Kama haupati maelezo unayotaka katika Mtandao, vituo vya ushauri ni pahali unaweza kupata ushauri, maelezo na
utaelekezwa kuhusu haki zako za kisheria, unayostahili kupata na pia majukumu yako. Baadhi ya hizi ni vituo vya
ushauri wa kawaida wanapopeana ushauri bila malipo, tena bila kuhitaji miadi; wengi kati yao hupeana pia huduma
ya ushauri kwa simu. Mashirika mengine ya ushauri hupeana huduma maalum za kisheria, na hushughulikia tu kesi
wanazopokea kutoka kwa mashirika mengine.
Baadhi ya mashirika yana washauri wanaongea Kiswahili; mashirika yasiyokuwa nao huweza kupanga kuweko na mtafsiri.
Maelezo maalum yamepeanwa hapa chini, katika orodha ya shirika linalohusika.
Mashirika yote ya ushauri yalio kwenye Ushirika wa Ushauri wa Kisheria katika Southwark [Southwark Legal Advice
Network (SLAN)] kama ilivyopangwa hapa chini yamepewa chapa ya CLS Quality Mark, inayomaanisha kuwa mashirika haya
yanatimiza viwango vya vilivyowekwa na Baraza la Huduma za Kisheria (Legal Services Commission).
Ushauri wa kawaida kuhusu ustawi wa jamii, deni, nyumba, matumizi ya bidhaa na maswala mengine ya kawaida; wanaweza
kupeana ushauri wa kitaalamu kwa ustawi wa jamii, deni na nyumba. BAC wanaweza kupanga kuweko mtafsiri wa
Kiswahili. Ili upate miadi, wasiliana nasi ukisaidiwa na mtafsiri wa Kiingereza katika kituo cha
Cambridge House, 131 Camberwell Road, London SE5 0HF (Jumatatu - Alhamisi: Saa 4 asubuhi – Saa 6
Mchana), au panga upate mtu asemae Kiingereza apige simu ya ushauri katika 020 7358 7035 (Jumatatu, Jumanne, Alhamisi: Saa 8 mchana – Saa 10 mchana).
Tazama ramani (View map)

Ushauri wa kawaida kwa wakimbizi na wanao omba hifadhi, ikiwa pamoja na nyumba, kazi, ustawi wa jamii, elimu & mafunzo.
Southwark Refugee Project wanaweza kupanga kuweko mtafsiri wa Kiswahili. Ili upate miadi fika kituoni katika, 161
Sumner Road, Peckham, London SE15 6JL (Jumatatu & Jumatano: Saa 4 asubuji– Saa 6 mchana & Saa 8 mchana- Saa 10 mchana).

Huduma bila malipo kwa ushauri wa kitaalamu na maelezo kuhusu uhamiaji na uwananchi. Afro Asian Advisory service
wana mshauri anayongea Kiswahili. Tafadhali piga simu upate ushauri kwa 0845 618 5385 (Jumatatu-Ijumaaa Saa 3
asubuhi- Saa 7 mchana, Saa 8 mchana-Saa 11 jioni). 53 Addington Square, London SE5 7LB.
Tazama ramani (View map)
Ushauri wa kawaida kwa wakimbizi na wanao omba hifadhi, ikiwa pamoja na nyumba, kazi, ustawi wa jamii, elimu & mafunzo.
Southwark Refugee Project wanaweza kupanga kuweko mtafsiri wa Kiswahili. Ili upate miadi fika kituoni katika, 161
Sumner Road, Peckham, London SE15 6JL (Jumatatu & Jumatano: Saa 4 asubuji– Saa 6 mchana & Saa 8 mchana- Saa 10 mchana).
Tazama ramani (View map)
Ushauri wa kawaida kuhusu usaidizi wa jamii, matumizi ya bidhaa, kazi, nyumba, deni, afya, elimu, huduma kwa jamii,
uhamiaji na maswala ya jamii. CAB inaweza kuandaa upate mtafsiri wa Kiswahili. Ili upate miadi, wasiliana nasi
ukisaidiwa na mtafsiri wa Kiingereza katika kituo cha 8 Market Place, Southwark Park Road, London SE16 3UQ
(Jumanne & Alhamisi, Saa 4 asubuhi- Saa 7 mchana), au panga upate mtu asemae Kiingereza apige simu ya ushauri kwa 0844 499 4134
(Jumatatu Saa 7:30 mchana – Saa 9:30 mchana; Jumanne Saa 10:30 jioni - Saa 12:30 jioni; Jumatano Saa 7:30 mchana – Saa 9:30 mchana; Alhamisi Saa 5 asubuhi – Saa 7 mchana).
Tazama ramani (View map)
Ushauri wa kawaida kuhusu usaidizi wa jamii, matumizi ya bidhaa, kazi, nyumba, deni, afya, elimu, huduma kwa
jamii, uhamiaji na maswala ya jamii. CAB inaweza kuandaa upate mtafsiri wa Kiswahili. Ili upate miadi, wasiliana
nasi ukisaidiwa na mtafsiri wa Kiingereza katika katika kituo cha 97 Peckham High Street, London SE15 5RS
(Jumatatu, Jumatano & Ijumaa Saa 4 asubuhi – Saa 7 mchana), au panga upate mtu asemaye Kiingereza apige simu ya ushauri kwa 0844 499 4134

Ushauri wa kawaida kwa wakimbizi na wanao omba hifadhi, including housing, employment, ustawi wa jamii, elimu & mafunzo.
Southwark Refugee Project wanaweza kupanga kuweko mtafsiri wa Kiswahili. Ili upate miadi fika kituoni katika, 161 Sumner
Road, Peckham, London SE15 6JL (Jumatatu & Jumatano: Saa 4 asubuji– Saa 6 mchana & Saa 8 mchana- Saa 10 mchana)
Tazama ramani (View map)
Ushauri wa kawaida kuhusu usaidizi wa jamii, matumizi ya bidhaa, kazi, nyumba, deni, afya, elimu, huduma kwa jamii,
uhamiaji na maswala ya jamii. CAB inaweza kuandaa upate mtafsiri wa Kiswahili. Ili upate miadi, wasiliana nasi
ukisaidiwa na mtafsiri wa Kiingereza katika kituo cha 8 Market Place, Southwark Park Road, London SE16 3UQ
(Jumanne & Alhamisi, Saa 4 asubuhi- Saa 7 mchana), au panga upate mtu asemae Kiingereza apige simu ya ushauri kwa 0844 499 4134
(Jumatatu Saa 7:30 mchana – Saa 9:30 mchana; Jumanne Saa 10:30 jioni - Saa 12:30 jioni; Jumatano Saa 7:30 mchana – Saa 9:30 mchana; Alhamisi Saa 5 asubuhi – Saa 7 mchana).
Tazama ramani (View map)
Ushauri wa kawaida kuhusu usaidizi wa jamii, matumizi ya bidhaa, kazi, nyumba, deni, afya, elimu, huduma kwa
jamii, uhamiaji na maswala ya jamii. CAB inaweza kuandaa upate mtafsiri wa Kiswahili. Ili upate miadi, wasiliana
nasi ukisaidiwa na mtafsiri wa Kiingereza katika katika kituo cha 97 Peckham High Street, London SE15 5RS
(Jumatatu, Jumatano & Ijumaa Saa 4 asubuhi – Saa 7 mchana), au panga upate mtu asemaye Kiingereza apige simu ya ushauri kwa 0844 499 4134
(Jumatatu Saa 7:30 mchana – Saa 9:30 mchana; Jumanne Saa 10:30 jioni - Saa 12:30 jioni; Jumatano Saa 7:30 mchana – Saa 9:30 mchana; Alhamisi Saa 5 asubuhi – Saa 7 mchana).
Tazama ramani (View map)
Ofisi ya 169 Walworth Road, London SE17 1RW na The Counting House, 53 Tooley Street, London SE1 2QN. Ushauri wa:
familia, nyumba, athari za matibabu, majeraha binafsi, kazi, wasia na mahakama ya urithi. Kulingana na hali yako
tunaweza kukupa Usaidizi wa kisheria, Mchango kutoka kwa Umma, makubaliano ya gharama yenye masharti, au
makubaliano ya gharama imara. Piga simu 020 7940 4000 uone kama twaweza kukusaidia na kesi yako.
Tazama ramani ya ofisi ya Walworth Road (View map of Walworth Road office)
Tazama ramani ya ofisi ya London Bridge (View map of London Bridge office)
8 Union Street, London SE1 1SZ. Ushauri wa: sheria ya umma na ya haki za binadamu, nyumba, huduma kwa jamii,
malipo ya ustaafu. Ni kwa miadi pekee. Kulingana na hali hali zako huenda tutaweza kukupa Usaidizi wa Kisheria,
Mchango kutoka kwa Umma, makubaliano ya gharama yenye masharti, au makubaliano ya gharama imara. Ukitaka
kuongea kuhusu kesi yako, piga simu 020 7407 0007.
Tazama ramani (View map)
Rudi Juu (Top of Page)